Taasisi ya Afisi ya Rais Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini Zanzibar (ZPDB) inawatangazia kilele cha sherehe za miaka miwili (2) itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 7 AU tarehe 14 Disemba, 2024 katika Hoteli ya Golden Tulip karibu na Uwanja wa Ndege wa AAKIA Zanzibar. Hivyo viongozi na waalikwa mnatakiwa kuwasili saa 1:30 asubuhi, Mgeni Rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Useful Links